alphaigogo.com
Tuige wenzetu wa Kenya kwa harambee ya elimu - alphaigogo.com
WENZETU nchiini Kenya wanajali sana elimu na wanaipatia kipaumbele. Selikali kwa upande wake imekuwa ikijitaidi kuwekeza katika elimu kwa maana ya kujenga kiasi kikubwa katika elimu.Jamii pia inathamini na kuweka kipaumbele katika elimu.kila mmoja anajua wajibu wake kwamba anawajibika kughalimia elimu.Mtoto aliepata nafasi ya masomo nje ya nchi,wazazi au mlezi anaandaa mkutano mahalumu wakuwakutanisha marafiki,jamaa na ndugu na Jamii kwa ajili
Alpha Igogo