alphaigogo.com
“Usimwangushe”-Dina Marios - alphaigogo.com
USIMWANGUSHE ….....Kama ungependa kukumbushwa basi napenda ni kukumbushe,kuna mtu anakufikiria mno,kuna mtu ana ringa kwa ajili yako,kuna mtu mahali ana kujali sana hujajua tu,kuna mtu anakukumbuka sana,kuna mtu anatamani kuongea na wewe,kuna mtu anatamani angalau ashike mkono wako tu,kuna mtu anafurahia sana kukufahamu,kunamtu anashangilia kila hatua njema unayoichukua. kama unapenda kuendelea kukumbushwa zaidi kuna mtu anatamani kukupa zawadi na anakuona wewe
Alpha Igogo