alphaigogo.com
Hongera sana Aneta David Mwakilili - alphaigogo.com
Msichana mtanzania Aneth David Mwakilili ni miongoni mwa wasomi walioteuliwa kuwania tuzo la wanasayansi wachanga Barani Afrika maarufu kama The Next Einstein Forum (NEF). Tuzo hiyo huleta pamoja wasomi wa sayansi, watunga sheria na washika dau katika sekta mbalimbali Barani Afrika, kujadili na kuhimiza sayansi inayoweza kutatua matatizo yanayokumba Bara la Afrika. Washindi wa tuzo hiyo wanapewa ufadhili na usaidizi kutoka kwa
Alpha Igogo