alphaigogo.com
Usiamini katika wakati - alphaigogo.com
Usiamini katika Wakati kwani Wakati waweza kukudanganya... Wakati waweza kukufanya ukawa mpumbavu... Wakati waweza kukurudisha nyuma... Wakati waweza kukufungia milango ya Baraka.... Wakati waweza kukupotezea muda.... Usiamini kwamba ukiishi na MTU miaka 20 ukampa moyo na mwili wako wote ukaongeza na maini na wakati wako wote basi ndio wako milele na hatakutenda.... Usiamini ukimzalisha /ukimzalia watoto 10 ndio wako wa maisha... Na
Alpha Igogo