alphaigogo.com
Let me be……….! - alphaigogo.com
Life is too short let Alpha be Alpha! Yani mimi kama I could have things my ways nafikiri ningekuwa na cheka tu kama #Zezeta .......Mpendwa, Usipoteze muda wako kusikitika kwanini yamekukuta yalio kukuta! Wewe sema kama yasingenikuta mimi nani mwingine anayestahili? Mshukuru Mungu kaamua kukutumia wewe kama chombo cha kufikisha ujumbe wake kwa watu / duniani! Mungu anajua you are
Alpha Igogo