alphaigogo.com
A word of wisdom - alphaigogo.com
Huwezi kumzuia ADUI....... kukutisha, kujitapa, kukukejeli na kukudhihaki, kujiona yeye ndio bora kuliko wewe.........kubwa Simama kwenye nafasi yako. Ukikaa kwenye nafasi yako wote waliokukataa, waliokususa, waliokudhihaki, waliokutusi na waliokuona si lolote si chochote ipo siku watakuunga mkono. Waliokuona hufai kuwa kwenye maisha yao.......................hao hao watasimulia mambo makuu kuhusu wewe, watakutamani na watakuheshimu. Hata wasipokiri kwa vinywa vyao mioyo yao itakiri na kuthibitisha wewe
Alpha Igogo