alphaigogo.com
Autism is not a disease, it’s a condition! - alphaigogo.com
Kwanza naomba nianze kwa kumpongeza sana wifi yangu Veneranda Obure na binamu yangu Dr. Joseph Obure pamoja na wazazi wote wenye watoto wanao sumbuliwa na Autism inchini Tanzania kwa ujasiri wao wa kuweza kutoka mbele ya public na kueleza dunia kuwa watoto wao wanasumbuliwa na ugonjwa ujulikana kama Autism. Sio wazazi wengi wanaweza kujitokeza hadharani namna hii kwasababu ya kuogopa
Alpha Igogo