alphaigogo.com
ADD Friends Campaign – Epsd 013: Mchango wa Imani kueneza fikra potofu juu ya Ulemavu.~~~~Peter Sarungi - alphaigogo.com
ADD Frriends Campaign - Epsd 013 Mchango wa Imani kueneza fikra potofu juu ya Ulemavu. Habari marafiki zetu, leo ni moja kati ya siku za kuabudu kwa baadhi ya imani tulizo nazo nchini. Nami naomba nitumie siku hii kutoa ujumbe unao endana na siku hii lakini ukigusa kampeni yetu ya kuondoa fikra potofu juu ya watu wenye ulemavu. Tabia, desturi na utamaduni ni
Alpha Igogo