alphaigogo.com
ADD Friends Campaign – Epsd 014: Je, Ni sahihi kumwombea mlemavu apone Ulemavu? -Peter Sarungi - alphaigogo.com
ADD Friends Campaign - Epsd 014 Je, Ni sahihi kumwombea mlemavu apone Ulemavu? Na Peter Sarungi (The Next Speaker) Huu ni mwendelezo wa kuonesha jinsi gani imani zetu zinavyo changia kueneza fikra potofu kwa jamii juu ya watu wenye ulemavu. Kumekuwa na tabia inayotokana na imani za baadhi ya mathehebu ya kikristu kutumia miujiza ya kuponya matatizo za watu mbalimbali ikiwa ni sehemu
Alpha Igogo