alphaigogo.com
“Adui wa taifa hapaswi kuwa sehemu ya taifa letu”-Abdul Mohamed - alphaigogo.com
Miaka kadhaa nyuma, tulikuwa safarini kwenda Msumbiji, nakumbuka brother Zitto Kabwe pia tulikuwa naye kwenye msafara ule. Tulipanda ndege ya Shirika la ndege la Kenya kupitia Nairobi kisha Maputo. Tukiwa njiani wakati wa kurudi nilipanda ndege nikiwa nafanya utani wenye kufanana na ukweli,
Alpha Igogo