alphaigogo.com
ADUI WA TANZANIA NI WATANZANIA WENYEWE-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Inapotokea jambo fulani halifanyiki kwa mafanikio yaliyo tarajiwa basi wahusika hukaa na kutafakari ni kwa sababu gani jambo halijafanikiwa yaani maana yake wanatafuta mchawi ama adui aliye zuia mafanikio yao. Tanzania yetu ni nchi yenye mipango mingi na mizuri na yenye kuvutia utekelezaji, nchi nyingi zimekuwa zikiiga mipango hii na kufanikiwa katika utekelezaji wake hata kuwa mfano kwa jamii za kimataifa.
Alpha Igogo