alphaigogo.com
Aika got talent! - alphaigogo.com
Wow! Aika! Yani umenifurahisha sana my doll! Mungu akubariki ufike mbali na ndoto zako zote zitimie!Amazing! Aika ni binti wa Mr and Mrs Lyimo ambao wanaishi San Francisco, California. Nafurahia sana kuona kipaji alichonacho Aika na inakuwa kama mshangao kidogo kwa jinsi watoto wanavyo kuwa haraka. Aika ni mtoto ninaye mfahamu tangu mdogo kwani wazazi wake walikuwa wakiishi Michigan kabla ya
Alpha Igogo