alphaigogo.com
Alicia 4th birthday party - alphaigogo.com
Princess Alicia akiwa anameremeta teyari kwa kusherekea birthday yake siku ya Juma Mosi. Alicia birthday yake ni 10/08/ lakini party yake ilifanyika siku ya Saturday kwasababu birthday iliangukia katikati ya wiki. Kusoma post ya birthday wishes yake bonyeza ? theme ya birthday ilikuwa ni mambo ya 'princess' party ! Pendeza sana Alicia you are too cute! Eddah Gachuma na princess wake.
Alpha Igogo