alphaigogo.com
“The Art of a Close Minded Society ni tatizo linalotusumbua sana hili Taifa kuanzia wananchi wengi mpaka Viongozi”~~~~~ LeMutuz - alphaigogo.com
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of a Close Minded Society ni tatizo linalotusumbua sana hili Taifa kuanzia wananchi wengi mpaka Viongozi tuna tabia ya kutopenda kufikirisha Akili kabisa na very soon hili Tatizo litatugahrimu sana as a Nation cause najua linatugharimu wananchi individually kila siku in our daily lives I mean bado ninakumbuka yote yaliyotokea kwenye vita ya RC na Madawa
Alpha Igogo