alphaigogo.com
ARUSHA ACHENI SIASA NA UTAWALA WA KIHUNI~~~Peter Sarungi - alphaigogo.com
Nimeshawahi kuandika kuwa kuna tofauti katika kushabikia club za mpira na vyama vya siasa. Siasa inagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu, ukiingiza ushabiki usio kuwa na tija kama wa club za mpira katika siasa ni wazi utakuwa una cheza na maisha ya watu na inawezekana uka angamiza ndoto za wananchi. Kilichotokea katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa kituo
Alpha Igogo