alphaigogo.com
ASANTE MH. JPM KWA UKWELI NA UWAZI-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Maisha ya binadamu ni mafupi sana ukilinganisha na mipango yake, hivyo kuishi kwa binadamu kunahitaji tyming kwa kila jambo. Hivyo Ukweli na Uwazi ni nguzo kuu ya maisha yetu ya kila siku.Kumekuwa na gumzo kubwa katika mitandao ya jamii kuhusu kauli ya Mh. JPM juu ya kutambua wake wa Marehemu Dr. Massaburi, wengine wakimshangaa na kumlaumu JPM na wengine wakimsifu
Alpha Igogo