alphaigogo.com
“ASANTE MUNGU” Maana yatupasa kushukuru kwa kila jambo - alphaigogo.com
Kuna tajiri mmoja aliamka asubuhi akachungulia dirishani na kumkuta Maskini mmoja akiponda kokoto, alitema mate chini kisha akasema ee mwenyezi Mungu wewe ni mkuu mno nakushukuru sana Maana Mimi si kama huyu Maskini anayeponda kokoto hapa.Akisha kusema hivyo alimkejeri yule Maskini huku akimwambia we choko lazima ufe mapema. Lakini yule Maskini alimuangalia kwa uchungu kisha akasema, yeye anayenifanya niwe hai
Alpha Igogo