alphaigogo.com
ASANTE SANA ALPHA IGOGO.COM-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Dunia ina badilika kwa kasi ya ajabu, katika karne hii ya sasa tunashuhudia mapinduzi makubwa sana ya TEKNOHAMA yaani teknologia ya Habari na Mawasiliano. TEKNOHAMA ni kubwa sana na ilikuwepo tangu enzi na enzi hata kabla ya kuja kwa Yesu Kristu na Mtume Mohammad SAW na ndio maana kuna maandishi ya vitabu vitakatifu vilivyodumu kwa miaka Elfu na Elfu mpaka
Alpha Igogo