alphaigogo.com
Asanteni sana the Kakoschke na Kimesera - alphaigogo.com
Very good msg! Love it! Sio kwa mahaba haya jamaniiii! Mnatutesa siye wakina single mama ?? .......Wapendwa ni nyakati za ule muda wa mwisho wa mwaka wa kusema asante kwa watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa mbaraka kwa maisha yako. Basi naomba mniruhusu niseme asante kwa familia hizi mbili. Hawa ni watu ambao siku zote nitawashukuru sana kwani wote wamenipa first
Alpha Igogo