alphaigogo.com
Would you attend your ex’s parents funeral? - alphaigogo.com
???? Jamani huko Instagram ni kuna vihoja kha! Nimekutana na haya maswali kutoka kwa huyu kaka ambaye ni Muandishi wa vitabu kuhusu maswala ya Relationship. Maswali haya ukiyasoma kwa juu juu bila kutafakari utaishia kucheka tu! Lakini ni maswali ya msingi sana!.......... Mie nasema inategemea katika maswali yote mawili! Ninaposema inategemea ni kutokana na sababu kuu mbili:- (1) kama kuna
Alpha Igogo