alphaigogo.com
(audio): “Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake…..Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani” – Tumaini Kilangwa - alphaigogo.com
Tumaini Kilangwa au da Tuma, yeye ni mama wa watoto wawili, mke, na mfanyabiashara. Katika mahojiano haya ambayo yote amerekodi na unaweza sikiliza ameongelea mambo mabali mbali kuanzia alipotokea, maisha yake ya elimu, maisha kama mama, maisha kama mke, na maisha kama mfanyabiashara. Ni mahojiano mazuri sana ambayo yanafundisha na kutia moyo kuwa hakuna lisilo wezekana kwa Mungu (kama unaamini
Alpha Igogo