alphaigogo.com
BAADHI YA VITU HATARISHI KWA NDOA YAKO – VIEPUKE - alphaigogo.com
1. Gubu, tabia ya kuongea sana kwenye kitu kimoja, kulalamika na kulaumu mara kwa mara. Hii inaua sana intimacy 2. Tabia ya kupinga kila kitu, kuona kila afanyacho au apendekezacho mwenzako kinakasoro isipokuwa kile chakwako tu. 3. Ukali, ukatili na ubinafsi 4. Tabia ya kutafuta logic kwenye kila kitu, wewe kila analosema mwenzako unasema halina logic, fahamu sio kilakitu kwenye maisha ya mahusiano
Alpha Igogo