alphaigogo.com
Baba kasema yamekwisha sasa tujenge taifa! - alphaigogo.com
Baba kafanya maamuzi yake! Rais Dr. Magufuli siku ya jana masaa ya Africa Mashariki kama wengi mlivyo sikia ameingilia kati na kumaliza mgogoro uliokuwepo kati ya marafiki wawili kaka yangu Paul Makonda na shemeji yangu Ruge ? mtaalamu wa kujikomba nimeanza ?? Well, kama hujui basi ndo hivyo Rais Dr. Magufuli ni my Guardian father, Paul Makonda kaka yangu, Ruge
Alpha Igogo