alphaigogo.com
Baba na Manongi - alphaigogo.com
Baba na mama Manongi wakiwa na nyuso za furaha kabisa walipo kuwa wakitalii ndani ya jiji la LA. Karibuni sana wazazi wetu. Mungu awe nanyi katika kipindi hichi mtakacho kuwepo hapa U.S.A, mfurahie, muwe na amani ya Bwana, na mibaraka mingi.
Alpha Igogo