alphaigogo.com
Baba yangu Dr. Magufuli mbona unatuangusha hivyo?!!- Alpha Igogo - alphaigogo.com
Baba naomba nianze kwa salamu; shikamoo baba!.......Baba naomba nikwambie dhumuni la barua hii si kukuomba hela za matumizi kwani hilo si tatizo langu kwa sasa! Pesa zipo tena wewe wenyewe ndio umeziweka hivyo nipo vizuri baba! Baba ninachotaka kukwambia leo hii nakuomba utege masikio yako kwa makini sana baba yangu kwani mwanao nimejawa na hofu nyini sana! Wewe ni baba yangu
Alpha Igogo