alphaigogo.com
Bado haujachelewa! - alphaigogo.com
Penye nia pana njia! Kama bado unapumzi ya uhai na afya tele basi bado unaweza kutimiza ndoto zako haijalishi una umri gani! #UsikateTamaa........Very happy TD Jakes anakuja na Talk show yake kwenye OWN! I'm a big fan of both Oprah and TD Jakes! Can't wait!..... Hii itakuwa ni talk show yake ya pili.
Alpha Igogo