alphaigogo.com
Beautiful twin brothers marry twin sisters! - alphaigogo.com
Story nzuri ya kuvutia ya maharusi mapacha ambao walioa siku moja na mabibi harusi ni mapacha! Wakaka hawa ambao ni mapacha walikutana na wadada warembo wawili ambao nao ni mapacha katika shughuli za kujitolea wakati wa tetemeko la ardhi huko Haiti! ....Mapacha hawa baada ya kupendana kwa muda siku moja wakaamua kuwavika pete ya uchumba warembo wao. Na sasa wamefunga
Alpha Igogo