alphaigogo.com
Bella’s homecoming party - alphaigogo.com
Bella umependeza sana! Naona jinsi gani mama Ayugi alivyo furahi. Enjoy every single moment, and wishing you the best of all! Wapendwa wasomaji wangu, kama haumfahamu huyu dada, yeye anaitwa RoseBella Ayugi Twaakyondo. Ni mke na mama wa watoto wawili. Anaishi USA, sasa hapa baada ya miaka mingi amekwenda nyumba kusalimia ndugu, jamaa, na marafiki. Umependeza sana! Asante cousin Baraka na my wifi
Alpha Igogo