alphaigogo.com
All the best #88 and your whole team! - alphaigogo.com
Leo familia ya kina Muddy a.k.a #88 iliamka na kukutana na kibao hicho ? nje ya nyumba yao. Nafikiri ni wanajumua ambao wanaishi eneo hilo wameweka kuonyesha support yao kwa team ya Howard High school pia na kwa Muddy ambaye ameifanikisha team ya shule yao kupata ushindi week iliyopita na kuingia katika Sate Championship ambayo naamini yana anza leo. Kama mnavyo
Alpha Igogo