alphaigogo.com
The best pic of the week: Baba na Mama Wawili! - alphaigogo.com
Awiiiiii! We Jakilini Jakilini wee ee! ngoja niimbe kidogo ???? Wana meremeta wana waka-waka aa! ?? huo naona haunogi ngoja niimbe huu ? ndo wenyewe wa ukweli ???? https://youtu.be/Cr8gjnxUlXw Wenye wivu wajinyonge tu kwakweli maana hamna namna ?? Na idumu milele hiyo asali ya moyo wako ???
Alpha Igogo