alphaigogo.com
Best wishes to Emelda Mwamanga - alphaigogo.com
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana CEO wa Bang Magazine Ms. Emelda Mwamanga kwa kuamua kujitosa na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa viti maalum kupitia vyuo vikuu. Hongera sana na nakutakia kila la kheri kwani unasifa zote na unastahili. Tabia zako ni mfano mzuri sana wa kuigwa kwa wasichana wa dogo ambao wana waangalieni nyinyi kama role model wao.
Alpha Igogo