alphaigogo.com
Best Wishes to Ezekiel Kachare - alphaigogo.com
Kwakweli ngoja tuu niwe mkweli as I always do 😁 ni muda toka nimeona hili tangazo la ndugu yangu (long time neighbor), childhood friend, and primary school classmate lakini nilishindwa kuliweka humu. Sababu haswa sipendi kujihusisha kwa undani na maswala ya siasa za Bongo kwasababu watanzania walio wengi wanafikiria siasa ni chuki. Hivyo kuepusha magroup yasioyo kuwa na ulazima niliamua
Alpha Igogo