alphaigogo.com
Pata nguo za bei nafuu kutoka kwa Binti Malaika - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba kama una binti mdogo na unahitaji kununua nguo kwa bei nafuu ambazo ni kama mpya. Yani ni nguo zake mwenyewe lakini hazijavaliwa sana na nyingine hazijavaliwa kabisa. Basi nenda kwenye Instagram yake ambayo inaitwa
Alpha Igogo