alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Leo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa our Iron Lady, nikisema kuwa she is the pillar of our family itakuwa nimemkosea heshima sanaaaaaa! She's one of the Very few pillars tulio jaliwa nao na Mwenyezi Mungu katika ukoo wa Chief Sarungi Igogo! Nguzo imara ambayo tunamuomba Mungu amzidishie maisha marefu yenye afya njema sana kwani tuna muhitaji kuliko maelezo! Hii
Alpha Igogo