alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Happy birthday to my childhood friend, primary and secondary school classmate! Naomba leo nikushukuru rasmi kwa sababu ni siku yako special. Nasema asante sana kwa kujitolea kuwa mtu wa kwanza kabisa kutoa mchango wako kwa hii blog. Ulitowa dondoo 10 muhimu kwa wazazi kuzingatia kwa watoto wao...Nasema Asante sana kwa moyo wako. Ni wachache wenye moyo wa kujitolea kama wako.
Alpha Igogo