alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Happy birthday to my most beautiful babysister Leonida Kachare! Mungu akubariki sanaaaaaa mdogo wangu wewe pamoja na familia yako yote. Furaha, amani na upendo vidumu katika nyumba yako. Happy birthday girl love you mingi mingi ? Wapendwa naomba mniruhusu niseme machache kuhusu huyu mdogo wangu. Namwita mdogo wangu si kwamba tuna undugu wa damu au ukoo mmoja hapana! Sisi ni ndugu
Alpha Igogo