alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa kaka yangu kipenzi Noah Manongi! Niseme nini mimi Alpha?! Baba wa Mbinguni anajua yote yaliyopo ndani wa moyo wangu jinsi ninavyo kushukushuru kwa uwepo wako katika maisha yangu huku nilipo mbali na familia yangu! Umekuwa Nami kaka yangu katika tabu na raha, umekuwa nami hata pale ambapo mimi mwenyewe nilikuwa sina imani nawe. Umesimama nami
Alpha Igogo