alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa rafiki yangu Prisca. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki, akupe afya njema, maisha mazuri na bora. Hapa Prisca alikuwa ametoka Geita anapo ishi kuja kunisalimia mimi rafiki yake. Prisca tulisoma wote Kowak Girls Secondary school. Urafiki wetu ulianzia shule na mpaka leo hii umedumu. Asante sana Prisca. Hapa ni Halima, Prisca na mimi, unaweza ku-imagine story za mashosti
Alpha Igogo