alphaigogo.com
Birthday wishes - alphaigogo.com
Napenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Charles Manongi. Mungu azidi kukubariki, uwe na afya njema, maisha marefu yenye amani na furaha nyingi. Charles yeye ni mdogo wake na kaka yangu kipenzi Noah Manongi. Ni mtoto wa mwisho kwa familia ya mzee Manongi..........Happy birthday Charles, be blessed!
Alpha Igogo