alphaigogo.com
Birthday Wishes - alphaigogo.com
Wiki iliyopita familia ya mzee Charles O. Igogo ilisherekea miaka 70 ya kuzaliwa mzee Charles O. Igogo. Sherehe ilifanyika nyumbani kwa mzee huyo maeneo ya Osterbay, ambapo ilitanguliwa na ibada maalum iliyo fanyika katika kanisa la Menonite Upanga. Ndugu, jamaa, na marafiki wote walipata nafasi ya kusherekea siku hiyo. Nami nasema Happy birthday baba mkubwa. Mungu azidi kuwa nawe, na
Alpha Igogo