alphaigogo.com
Birthday Wishes - alphaigogo.com
Happy birthday Mr. Aidan Nyongo. Nifuraha ilioje kushare siku yako ya kuzaliwa na watu uwapendao. Aidan amezaliwa leo tarehe 23rd March, kipenzi chak, mkewe aliye pendezwa naye amezaliwa 19th of March, kijana wake mpendwa pamoja na binti yake mpendwa wote wamezaliwa 14th of March! Pia marehemu baba mkwe wa Aidan (R.I.P) alizaliwa tarehe 19th of March! Happy birthday to you all,
Alpha Igogo