alphaigogo.com
Blessing katika ubora wake - alphaigogo.com
??? Utoto raha sana eeh! Blessing ngoja nikusindikize na huu wimbo................................???? wakati nilikuwa mtoto nilikuwa mdogo ? sikuwa najali shida wala raha ? nilikuwa nategemea wazazi wangu uu ? sasa nimekuwa naona shida nyingi duniani ? aaah kwepuka siwezi ? aah kwepuka siwezi ii ? sina lakufanya binti wa Igogo ??? ??...........usinicheke eeh usinitete ? ndivyo mambo yanavyo enda usinicheke ? leo kwangu kesho kwao ? aaah mwenzangu uu sina lakusema, sina lakufanya ? msingi
Alpha Igogo