alphaigogo.com
CCM WANA HAKI YA KUFUKUZA WASALITI. -Peter Sarungi - alphaigogo.com
Huwa sipendi kuingilia siasa za ndani za vyama vingine lakini huwa inanilazimu kwa sababu chama kama cha ccm kinatawala serikali hivyo maamuzi yake yana athari kwa uendeshaji wa serikali na Taifa kwa ujumla. Nimeona mjadala wa wafuasi wengi wa upinzani wakilalamika juu ya maamuzi ya fukuza fukuza ya wanachama wa ccm wanao itwa wasaliti. Wanapinga na kulaani maamuzi halali yaliyotewa kutokana
Alpha Igogo