alphaigogo.com
Charlie Sheen HIV+ confession! - alphaigogo.com
Leo asubuhi muigizaji wa muda mrefu Charlie Sheen ametangazia dunia kuwa yeye ni muathirika wa HIV kwa muda wa miaka minne sasa. Alisema hayo wakati wa mahojiano maalum kati yake na Matt Lauer wa Today's show katika channel ya NBC. Wapendwa wasomaji, mkiona mtu ana fanya mambo ambayo ni tofauti kabisa na mlivyo mzowea; embu jaribu kumchunguza kwa karibu au tafuta
Alpha Igogo