alphaigogo.com
TAFFA (Tanzania Freight Forwarders Association) wakutana leo - alphaigogo.com
Zaidi ya wanachama 3000 wa TAFFA walikutana leo mjini Dar es salaam kujadili tuhuma za upotevu wa containers bandarini...... zifuatazo ni picha za mkutano huo ambao uliudhuriwa na viongozi wote wa TAFFA pamoja na Mwenyekiti wa board hiyo sir. O.O Igogo Wadau ambao ni wamiliki wa makampuni ya ya logistic au Clearing and forwarding kama ijulikanavyo na wengi wakisikiliza kwa makini
Alpha Igogo