alphaigogo.com
Cheka unenepe: “The generation of fake busy”! - alphaigogo.com
???? how true!......too many fake people nowadays! Yani 'fakelicous' people wapo katika level zote za maisha!....... ushawahi kuona wale watu ambao kila siku ukikutana nao au wao tu ndo kila siku for some annoying reasons hawana number yako ya simu halafu wewe you still have their number sijui for how many yrs? Yani mie nikishakupatia number yangu twice halafu tunakutana
Alpha Igogo