alphaigogo.com
Cheka urefushe maisha yako! - alphaigogo.com
Eti na wewe unajiita Mwanaume,Mwanaume kumnunulia Zawadi mwanamke wako ni mpaka uone Valentine's Day imekaribia ndio unajishaua na Shopping ili kusafisha nyota. Nani aliyekwambia Usela unalipa kwenye Mapenzi?? Unahisi ukimnunulia Zawadi na kumuonyesha unampenda utaonekana Bwege, Kuna kosa gani kuwa bwege kwa mtu unayempenda?? Hata wanafiki wakisema umeshikwa waambie NDIO NIMESHIKWA NIMESHIKAMANA! Make your Woman Smile........Wala huna haja ya kutumia fedha
Alpha Igogo