alphaigogo.com
Congratulations Jane D. Oming’o - alphaigogo.com
Napenda kuchukuwa fursa hii kumpongeza Jane D. Oming'o kwa kufanikiwa kumaliza elimu yake ya degree ya pili katika mchepuo wa Science in IT (MSc-IT). Hongera sana my cousin, ni mfano wa kuigwa kwa watu wote husunani wanawake wa Kitanzania. Jane akisherekea graduation yake pamoja na familia yake, ndugu zake, marafiki zake, na jamaa zake wa karibu akiwemo mdogo wake mpendwa Dr.
Alpha Igogo