alphaigogo.com
Dada wa Taifa akabidhi mchango wake! - alphaigogo.com
Dada wa Taifa kama ilivyo ada yake kutoa na kujali watu ni tabia yake ya asili, basi ndivyo alivyo fanya siku ya leo. Amekabidhi mchango wake kama alivyo sema huko nyuma kuwa atatoa sehemu kubwa ya mshahara wake wa mwezi huu kuchangia maafa ya Kagera!.....Mungu azidi mbariki sana. We love you ShyRose ❤❤
Alpha Igogo