alphaigogo.com
Dawa ya meno ya asili: Nazi na Baking Soda - alphaigogo.com
Nimesoma mahala fulani kuwa hizi dawa za mswaki zinawekewa kiwango kikubwa cha Fluoride kwaajili ya kutungarisha meno lakini si kitu kizuri kwa afya zetu na meno yetu. Vile vile kutokana na maji mengi sikuhizi huwekewa Fluoride ilikuuwa vijidudu vya magonjwa hivyo unapotumia tena toothpaste unakuwa umetumia kiwango kikubwa sana cha Fluoride ambacho kinakuwa ni hatari sana kwa afya zetu, unaweza
Alpha Igogo